Junior Braithwaite

Franklin Delano Alexander Braithwaite, anafahamika zaidi kwa jina la Junior Braithwaite, (4 Aprili 19492 Juni 1999) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka mjini Kingston huko nchini Jamaika. Yeye mwanachama mdogo zaidi kutoka katika kundi la The Wailing Wailers. The Wailing Wailers lilikuwa kundi la sauti ambalo Bob Marley na Bunny Wailer walilianzisha mnamo 1963, pamoja wakiwa na Braithwaite, wakati muziki wa ska ulikuwa maarufu nchini Jamaika.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search